,

,

Saturday, 16 November 2013

THE OFFICIAL “PARK LANE” NEW HIT SINGLE “KILA MTU NA WAKE” COMING SOON.





cpwaa & suma lee

THE OFFICIAL “PARK LANE” NEW HIT SINGLE “KILA MTU NA WAKE” COMING SOON. Baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu huku kila mtu akifanya kazi kivyake, lile kundi lililowahi kutesa sana Tzee enzi zile na ngoma kama Aisha, Sema hooo!, na nyenginezo likiwa linaundwa na vichwa viwili ambavyo ni Suma Lee mzee wa Hakunaga na Cpwaa mzee wa Clunk Bongo linarudi upya na singo ya pamoja.

Ngoma hiyo itakwenda kwa jina la ‘Kila Mtu na Wake’ na itaachiwa wiki ijayo.
Hii hapa ni post ya Cpwaa kwenye akaunti yake ya FB.. STAY TUNED..!!

Cpwaa
Musician/Band · 9,340 Likes


No comments:

Post a Comment