,

,

Saturday, 16 November 2013

PICHA; MUONEKANO MPYA WA STUDIO YA MANECK “AM RECORDS

MUONEKANO MPYA WA STUDIO YA MANECK “AM RECORDS”BOB MANECKY(MDOGO WAKE MANECKY)

Baada ya kuwa kwenye matengenezo kwa muda mrefu sasa studio ya Maneck ijulikanayo kama “Am Records” imekamilika na inaonekana ipo kwenye kiwango kizuri ukifananisha na studio nyingine hapa bongo

Studio imebadilika kwa ukubwa na uwezo wa kazi. Pia recording room imekuwa kubwa zaidi ili kuwezesha zaidi ya watu 6 kurekodi kwa wakati moja na kupiga vifaa tofauti.
Very Comfortable Sits zimewekwa studio kwa wale watakao kuwa wakisikiliza ngoma mpya na kurekodi zao.





MANECKY





No comments:

Post a Comment