PICHA, ALI KIBA KWENYE GAZETI LA KITANGOMA
Baada ya kutangaza kurudi kwenye game la
bongo fleva na kuzima kiu za mashabiki wengi, Ali Kiba amekuwa Ontop
kwenye interview nyingi za vyombo tofauti vya habari. Ali Kiba
amefanyiwa mahojiano na Jarida la Kitangoma.
No comments:
Post a Comment