Mbunge wa Arusha Mjini mh Godbless Lema ameamuwa kugawa hadharani zile
picha chafu za kutengeneza zinazomuonyesha mtu mwenye sura inayofanana
nae akilawitiwa ambazo zilikuwa zikisambazwa ktk mitandao ya Kijamii na
ktk vijiwe mbalimbali hapa Arusha na zingine kwa watu wake wa karibu
wakiwemo wakwe zake na baadhi ya Wachungaji na Mashekhe.
Hii imetokea ktk mkutano wa leo unaofanyika ktk viwanja vya Kilombero jijini Arusha.
Picha hizo ni zile za kutengeneza zikimuonyesha mtu mwenye sura inayofanania na yeye akiingiliwa kinyume na maumbile!!
Jambo lililo washangaza wakazi wa Arusha Mjini ambao leo walikuwa ktk
mkutano huu,ni hili la Mh Mbunge Lema kumpandisha Jukwaani Mke wake
[NEEMA] ambae alikuwa ameambatana nae ili azigawe picha hizo ambazo
alikuwa ameziprint kwa wingi,lakini Wananchi waliokuwa kwenye mkutano
huo walikataa picha hizo kugawanywa na kusema hazina umuhimu wowote ila
zichomwe moto kwa kuwa wanajua ni za kutengeneza wala hazina ukweli
wowote.
Baada ya ubishani ndipo mh Mbunge aliamuru kura zipigwe na waliosema
picha zisigawanywe walishinda na ikaamuliwa picha zichomwe moto na tukio
la kuzichoma likafanyika.
Mh mbunge aliwashukuru wapiga kura wake kwa kuonyesha heshima kwake kwa
kukataa picha hizo kugawanywa ktk mkutano huo."Nawashukuru Wana Arusha
kwa kuwa mmeonyesha ni jinsi gani mnanipa heshima km mbunge wenu kwa
kusema "hapana" tusigawe picha hizi zenye ""Lengo"" la kunidhalilisha!!
Nawashukuru sana!! alisema Mh Lema. Mkutano unaendelea........!!
Pamoja na yote haya lakini lazima tukubaiane kuwa Lema ni ""JASIRI" wa
aina yake. Hili la picha limemuongezea Umaarufu na Kujiamini zaidi,sasa
sijui maadui wake wa Kisiasa[Samson Mwigamba na wenzie] Watakuja tena na
Mbinu ipi maana hii imewaumbua sana!! Fikiri mtu unatengeneza picha za
kumuonyesha akilawitiwa na wewe kusambaza kwa siri lakini yeye mwenyewe
anaamuwa kusambaza hadharani. Embu fikiri!!
Lema alisema kuwa aliamuwa kwenda kwa wale wanaochapa picha kwenye
matairi ya gari na kuwaomba wamtengenezee Kava yenye picha hiyo na
maneno yasemayo ""MBUNGE WA ARUSHA MJINI AKILAWITIWA""ili aweke kwenye
gari lake lakini walikataa!! Nani mwenye ujasiri km huo?
Chanzo. Sokoinei JF expert member
No comments:
Post a Comment