Saturday, 8 November 2014

PICHA, ALI KIBA KWENYE GAZETI LA KITANGOMA

Baada ya kutangaza kurudi kwenye game la bongo fleva na kuzima kiu za mashabiki wengi, Ali Kiba amekuwa Ontop kwenye interview nyingi za vyombo tofauti vya habari. Ali Kiba amefanyiwa mahojiano na Jarida la Kitangoma.
 

No comments:

Post a Comment