,

,

Tuesday, 4 November 2014

FID Q KUSHOOT VIDEO MPYA NJE

Fid qFarid kubanda Fid Q amesema anatarajia kwenda kufanya video yake mpya nje.amesema amedhamiria kufanya video nzuri baada ya kukaa muda mrefu bila kufanya video nzuri.Fid Q amefunguka hayo kupitia 255 XXL ya clouds fm. 

No comments:

Post a Comment