,

,

Wednesday, 19 February 2014

Manaiki Amchokonoa Ney wa Mitego…Adai Alishamla URODA demu Mpya wa Ney Aliyemnunulia Gari.

Mwanamuziki wa bongo Flava Nay wa Mitego akiwa na mchumbaake aliyezusha balaa baada ya Manaiki Sanga kudai kuwa keshampitia na kutaja alama zilizopo mwilini mwake.
Na Mwandishi Wetu

Msanii Manaiki Sanga “The Don” ameonekana kumtafuta Ney wa Mitego na kuingilia ndoa yake baada ya kuandika kwenye mtandao wa Facebook akisema kuwa mke anaejitambia Nay ameshamla uloda sana kiasi cha kutaka kumuoa.
Kwenye post hiyo Manaiki alisema kuwa msichana huyo ambae hakumtaja jina alikuwa kama mke wake kwa kipindi kirefu sana na hadia nakuja kumchukua Nay ambae hivi karibuni ametangaza kumnunulia gari la milini therathini kama zawadi.
Hata hivyo juhudi za kumtafuta Mke wa Nay ili kuzungumzia ishu hiyo bado zinaendelea ambapo next time tutaweka kauri yake hadharani kuthibitisha.

No comments:

Post a Comment