"UHUSIANO WA KIMAPENZI BILA NGONO NI KUONGOPEANA".....TOPE OSOBA Muigizaji Tope Osoba wa Nigeria, amekataa kuwa na
Muigizaji Tope Osoba wa Nigeria,
amekataa kuwa na mahusiano bila ya kukutana kimwili, na kufunguka
kwamba anashangazwa na wasanii wengi wa Ghana na Nigeria wamekuwa
wakiolewa na wanaume zao kuishi nje ya nchi kwa zaidi ya mwaka na
hakuna kati yao aliyepata nafasi ya kumtembelea mwenzake.
Ngono
ni kitu cha kuburudishana kati ya wawili wapendanao. Ngono ni nzuri.
Imeumbwa ili wapenzi wa-enjoy na kubadilishana siri za mioyo yao.”
Alifunguka actress huyo.
Alipoulizwa
kuhusu mapenzi kabla ya ndoa, Tope alisema: “Mapenzi kabla ya ndoa ni
poa tu, al muradi usalama kwanza. kwanza tusidanganyane, hauwezi
kudumisha uhusiano bila ngono.”
Alifafanua
kuwa maisha ya namna hiyo hayapo na kama yapo yana kitu nyuma ya pazi
kwa kuwa hakuna mwaminifu bila ya sababu ya msingi
No comments:
Post a Comment