MREMBO wa haja ambaye jina halikupatikana amenusurika kubakwa na wanaume baada ya kuvaa kivazi kilichoacha wazi sehemu kubwa ya maungo yake nyeti.
Mrembo aliyevaa kivazi cha ajabu kilichoacha wazi sehemu zake nyeti akisaidiwa na wasamaria wema baada ya kuvaa khanga. |
Mrembo huyo akizongwa na vijana wa Kariakoo.
Tukio hilo lilijiri sehemu yenye mkusanyiko mkubwa, Kariakoo jijini
Dar ambapo mrembo huyo alikuwa kwenye ‘shopping’ kwa ajili ya sikukuu
ijayo ya Krismasi.
Akisaidiwa kuingia kwenye gari.
Likiwa linarandaranda maeneo hayo, Ijumaa Wikienda lilinasa laivu
tukio hilo ambapo mrembo huyo alivuliwa nguo hadharani na kuacha ‘vitu’
njenje vikishuhudiwa hata na watoto waliokuwa wakimzomea.
Akiwa ndani ya gari.
Alipotoka bado wanaume waliendelea kumzingira ambapo ilimlazimu kutoa
shilingi elfu hamsini kisha kurukia kwenye ‘kenta’ iliyomuondoa eneo
hilo na haikujulikana alikoelekea kwa sababu gari hilo lilichomoka mbio
huku akiwa amekoma ubishi wa kutembea nusu utupu.Vijana wakilizonga gari alilopanda mrembo huo.
No comments:
Post a Comment