,

,

Monday, 2 December 2013

NIKKI WA PILI AIPIGIA MAHESABU PHD AKIWA BADO KIJANA

Rapper wa kampuni ya weusi nick wa pili ambaye jina lake ni Nickson simon ameeleza kuwa anampango wa kusoma zaidi PHD, niki ambaye amemaliza shahada yake ya pili katika chuo kikuu cha dar es salaaam  katika fani ya HUMAN RESOURCES MANAGEMENT amesema anamuomba mungu asome PHD akiwa bado kijana, hiyo ndiyo mikakati yangu ndani ya miaka miwili ijayo na namuomba mungu anipe PHD nikiwa bado kijana.Nick wa pili pia alichaguliwa kama mzungumzaji katika semina iliyoandaliwa na clouds media group(fursa). kila la kheri nikki wa pili...

No comments:

Post a Comment