Gazeti moja la hapa bongo limejaribu kumtafuta Bob kumuuliza kuhusu hiyo issue akasema yeye huwa anachukua nguo hizo kwa ajili ya kulitangaza hilo duka so hadaiwi na mtu....
,

Monday, 9 December 2013
BOB JUNIOR adaiwa kuvaa Midosho ya Kuazima..!!
Msanii wa Music ambae pia ni Producer wa Muziki na Mmiliki wa
Studio ya Sharobaro Records Bob Junior ameingia katika Aibu Ingine baada
ya Duka Moja la nguo Kujitokeza na Kudai Linamdai Msanii huyo Kiasi cha
Shilingi 180,000 za Kitanzania ..Muuzaji wa Duka hilo Amesema Bob Huwa
anaenda hapo kuchukua nguo ambazo huwa tunamkopesha mpaka sasa deni
limefikia kiasi hicho na tukimtafuta anapiga chenga kulipa..
Gazeti moja la hapa bongo limejaribu kumtafuta Bob kumuuliza kuhusu hiyo issue akasema yeye huwa anachukua nguo hizo kwa ajili ya kulitangaza hilo duka so hadaiwi na mtu....
Gazeti moja la hapa bongo limejaribu kumtafuta Bob kumuuliza kuhusu hiyo issue akasema yeye huwa anachukua nguo hizo kwa ajili ya kulitangaza hilo duka so hadaiwi na mtu....
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment