Kendrick Lamar ametajwa kuwa Rapper Bora Wa Mwaka Huu Kwa Mujibu Wa
Jarida La GQ kwenye tolea la Mwanaume Bora wa Mwaka Huu. Je Unakubali
Hilo ?
Well kwenye mahojiano na mkali huyo wa rap yaliyotokea wakati mashairi yake kwenye wimbo wa Control yanazungumziwa zaidi Kendrick alisema "Sina tatizo na Drake ila Ataka kama ningekuwa nalo sidhani kama maisha yangu yange athirika"

No comments:
Post a Comment