Msanii wa Rnb Kelly Rowland amevalishwa pete ya uchumba na mpenzi wake wa siri aliyekuwa naye kwa muda mrefu Tim Witherspoon.
Kelly na Mpenzi wake wameweka mapenzi yao siri sana na imefika muda
Kelly awe Official Girl. Kwenye instagram yake ametuonyesha hii picha
akiwa na pete yake.
No comments:
Post a Comment