Msanii wa Bongo Fleva, Dayana Nyange ameanika kiuno chake kupitia
mtandao wa Instagram akionesha mkufu (cheni) aliyovaa kiononi...
Kwan jambo la kuanika maumbile yao hasa kwa mabinti limekuwa jambo la
kawaida sana japo si jambo la busara hususani kwa tamaduni za nchi yetu
au bara la watu weusi.
No comments:
Post a Comment