4. Hakikisha unajua make up gani inakufaa na itayowezakwenda na ngozi yako
6.Jua nyakati za uvaaji wa mavazi yako. sio kuvaa tuu kwa sababu nguo ni ya bei ghali
7...........jifunze namna ya kutembea kwa maringo yanayoendana na mavazi unayovaaa.
8. Marashi ni kitu muhimu katika mwili wako ila chagua marashi yenye nakshi na harufu nzuuri.

9. N mwisho kabisa jisikie mwenye furaha na
onekana mwenye tabasamu la mafanikio kila mara kwani huutengeneza uso
wako katika hali nzuurin kabisa.
Ukizifuata hatua hizi Tisa zitakusaidia kuufanya urembo wako uwe mzuri zaidi na wenye kuvutia.
No comments:
Post a Comment