AY ambaye anafahamika sana
nchini Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi hadi Kusini mwa Afrika. Vile vile alikuwa mwanakikundi wa East Coast Team linaloongozwa na Gwamaka Kaihula aliye maarufu kama King Crazy GK, na mwenzake Khamis Mwinjuma maarufu kama Mwana Falsafa au Mwana FA. Kundi hilo la Muziki lina maskani yao Upanga jijini Dar es salaam.

Albamu Alizotoa
- TUNZO ALIZOSHINDA
- :2007 Tanzania Music Awards - Best Hip Hop Single (‘Usijaribu’)[1
- ]2007 Kisima Music Awards - Best Video From Tanzania (‘Usijaribu’)[2]
- 2008 Tanzania Music Awards - Collaboration of the Year (“Habari Ndio Hiyo”), with Mwanafalsafa[3]
- 2008 Pearl of Africa Music Awards - Best Tanzanian Male Artist[4]
- 2010 Tanzania music awards - Best Reggae Song (‘Leo (Reggae remix)’ with Wahu)[5]
- 2012 CHANNEL O VIDEO MUSIC AWARD-BEST EAST AFRICA MALE
No comments:
Post a Comment