"R.O.M.A
Sijajua nyie mnalionaje hili wenzangu...
lakini mimi naona kwa asilimia nyingi(siyo wote) ila nyingi!!!
.....ya kuwa vijana wengi tunalilia na kuhangaikia sana ajira..lakini bado hatujakuwa na wito ktk kazi zetu,
bado hatujakuwa na busara na hekima ktk ile kazi tunayotaka!!
na bado tumekosa maadili katika kazi ile husika tuitakayo!!
Katika vitengo vingi vya kazi hapa nchini, fananisha huduma atakayokupa
kijana na huduma atakayokupa mzee wa makamo/ ama mzee kabisa/mtu mzima!!
Ni
mara nyingi sana ukienda ktk huduma mbali mbali kama
bank/hospital/wizarani/mashuleni/taasisi mbali mbali/kampuni kadha wa
kadha/ toka huko njoo hata ktk mahoteli/bar/na sehemu za kawaida n.k..
....then umkute sista du tu binti fresh from school/ama kijana wa
kiume(brother tu) pasipo sababu yoyote anaweza akakuletea
nyodo/dharau/majigambo yani kukumbwelesha tu ili ujue bila ya yeye
huwezi fanikisha jambo lako!!
WANAKOSEA saaana!!!!
kivipi sasa mimi nije bank/ama kwenye kampuni yako ya simu kurekebisha
line yangu ya simu!!
aaaf eti nikunyenyekee saaana niwe muoga kwako na nikubembeleze?
wakati wewe ndiyo unatakiwa uninyenyekee na kunibembeleza mimi
mteja..maana bila mimi kuleta line yangu hapo wewe hutapata mteja so
utakufa njaa wewe!!
na bila mimi kuja bank kuweka pesa zangu hapo basi wewe hutapata pesa
ktk ofisi yako..sasa pesa zangu aaf still niwe mdogo mbele
yako!!?INAHUU!!
Ni tofauti na unapomkuta mzee ktk ofisi fulani,
sawa wazee wetu wana mapungufu yao lakini wengi ni wenye busara na
hekima kazini...hata majibu yao yanatia moyo na yanakufanya ujisikie
wewe ni wa muhimu!! wana uzoefu na kazi zao kwa miaka mingi!!
Sasa
sisi vijana tunalilia sana ajira na tunataka sana tuwatoe wazee wetu
ktk viti vyao walivyokalia..sawa wanakubali kutupisha...basi tutoe
huduma nzuri na inayopaswa!!
aaaf kuna vitu vingine ukifanya wala hupungukiwi na kitu aisee tena sana sana utaongeza urafiki na utapendwa na watu!!
Ukienda kampuni fulani una shida fulani..aisee unaweza ukamkuta mdada akakupa majibu hayo hadi ukajitoa thamani...
sasa
nauliza mdada yule hawazi kuwaza kuwa hata mimi nina kazi yangu...
na ipo siku anaweza akanikuta hata mimi ni KONDA wa mbagala tandika na
yeye akawa kapoteza nauli na mimi nikaanza kumringia na ofisi yangu
isiyo na A.C!!!
kila anaekuja ktk ofisi yako siyo hohe hahe
jamani kuwa yupo yupo tu hana mchongo..ipo siku nawewe utamkuta ktk kiti
chake akikutazama kwenye foleni huku anakupania usogelee meza yake tu
uifikie AKUFURAHISHE!!!
VIJANA TUITAFTE AJIRA LAKINI TUNAHITAJI MABADILIKO NA TUPEWE HASA SEMINA ZA MAADILI/BUSARA NA HEKIMA KAZINI!!!
Says
Rooomaaa!!!"
No comments:
Post a Comment