Mwanamuziki wa bongo Flava Nay wa Mitego akiwa na mchumbaake
aliyezusha balaa baada ya Manaiki Sanga kudai kuwa keshampitia na kutaja
alama zilizopo mwilini mwake.
Na Mwandishi Wetu
Msanii Manaiki Sanga “The Don” ameonekana kumtafuta Ney wa
Mitego na kuingilia ndoa yake baada ya kuandika kwenye mtandao wa
Facebook akisema kuwa mke anaejitambia Nay ameshamla uloda sana kiasi
cha kutaka kumuoa.
Kwenye post hiyo Manaiki alisema kuwa msichana huyo ambae
hakumtaja jina alikuwa kama mke wake kwa kipindi kirefu sana na hadia
nakuja kumchukua Nay ambae hivi karibuni ametangaza kumnunulia gari la
milini therathini kama zawadi.

Hata hivyo juhudi za kumtafuta Mke wa Nay ili kuzungumzia
ishu hiyo bado zinaendelea ambapo next time tutaweka kauri yake
hadharani kuthibitisha.
No comments:
Post a Comment