NEWS, ENTERTAINMENT, EVENTS, LIFE STYLE, FASHION, PHOTOS, INSPIRATION. GOSSIP
Thursday, 12 December 2013
Picha Na Info, Mwanamke Aliyetengeneza Nepi Ya Dawa Za Kulevya Na Kuiva Alivyokamatwa.
Mwanamke huyu aliyeshawahi kukamatwa mara nane kwa makosa tofauti alikamatwa muda wiki chache zilizopita akijaribu kuingiza dawa za kulevya nchini Marekani kwa njia ya kuvaa nepi ya watoto iliyotengenezwa na kujazwa dawa za kulevya aina ya Cocaine. Picha Ziko Hapa.
Michelle Blassingale alikamatwa mwezi wa kwanza mwaka huu akijaribu kupita uwanja wa ndege wa Kennedy. Amehukumiwa miaka miwili jela.
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment