Ney
wa mitego amefunguka jana kupitia kipindi cha Amplifaya cha clouds fm
kuwa amefanikiwa kuingiza kiasi cha mamilioni ya shilingi katika show za
fiesta zinazoongozwa clouds, Ney wa mitego amesema hayo wakati huu wa
kutimiza miaka 14 ya clouds fm alipokuwa akihojiwa. Ney "alisema Nimefanikiwa kuingiza zaidi ya milioni 24 za kitanzania katika msimu wa fiesta wa mwaka huu"
No comments:
Post a Comment