,

,

Sunday, 1 December 2013

MSANII TID ATUPWA MAHABUSU KWA KOSA LA KUMPIGA NA KUMJERUHI DEMU WAKE




Msanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya, Khaleed Mohamed 'TID' yupo mahabusu katika Kituo cha Polisi Oysterbay tangu jana usiku baada ya kukamatwa na polisi kwa tuhuma za kumpiga na kumjeruhi msichana anayedaiwa kuwa ni demu wake mariamNnauye

No comments:

Post a Comment