Mimi
ni mwanamke mjasiliamali mwenye umri wa miaka 25.Ni mzaliwa wa
Sumbawanga ila makazi yangu kwa sasa ni Dar.Sina mtoto na
sijaolewa.
Natafuta
mwanaume mwenye mapenzi ya dhati ili awe mume wangu
baadae.Mimi sichagui dini wala kabila, ila sipendi mwanaume
mgomvi na malaya maana siku hizi kuna magonjwa mengi.
Mwenye nia ya dhati tuwasiliane kwa email yangu ili tupeane namba za simu.
Email:annajohanes@yahoo.com
No comments:
Post a Comment