Makomando wamefanya interview na sammisago kuhusu ujio wa video yao
mpya nakusema kuwa Mavazi, Swag na Muonekano wa video yao ni tafautisana na hawajawahi kufanya kitu kikali kama hichi. Video itatoka kwenye screen yako ndani ya wiki chache zijazo.

No comments:
Post a Comment