CHANGAMOTO INAYOWAKABILI BAADHI YA WANAWAKE WAINGIAPO KATIKA MAHUSIANO MAPYA..
Ni
pale mwanaume anapoonyesha tamaa kubwa ya ngono na kulazimisha kukutana
kimwili wakati mwanamke aliweka msimamo wa kutokutana kimwili na
mwanaume yeyote mpaka baada ya muda fulani tangu kufahamiana na kuwa
wachumba au mpaka pale watakapofunga ndoa
Huu
ni mtihani kwa wanawake wengi kwa sababu unawaweka katika wakati mgumu
wa kuchagua kuvunja nadhiri waliojiwekea au kusimama imara kwenye
msimamo waliyojiwekea kwa ajili yakulinda heshima zao.
Swali kwa wanawake: Je unapokabiliwa na mtihani kama huu ni uamuzi gani unaona ni sahihi kwako….?
No comments:
Post a Comment