WALE WALE ndio ngoma mpya anayokuja nayo Kala Jeremia.....: Tarehe 20 mwezi huu msanii wa hip hop nchini ambaye anasikilia tuzo 3 kutoka Kili Music Award anatarajia kuja na wimbo mwingine mkali huku akiwa amemshirikisha Nay Lee mwanadada anayeiwakilisha mbeya vizuri....
No comments:
Post a Comment