Tuesday, 12 November 2013

TUME YA MABADILIKO YA KATIBA YAPATA PIGO BAADA YA ALIYEKUWA MJUMBE, DR SENGONDO KUFARIKI DUNIA

Dr mvungi sengondo alimefariki dunia huko afrika ya kusini alipokua amepelekwa kwa ajili ya ya matibabu baada ya kuvamiwa na kuumizwa vibaya na watu wanaoaminika kuwa ni majambazi,mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.....!

No comments:

Post a Comment