Jacqueline Dunstan ‘Jack wa Maisha Plus’.
MREMBO
aliyeshiriki Shindano la Maisha Plus Season 2, Jacqueline Dunstan ‘Jack
wa Maisha Plus’ amezua jambo katika mtandao baada ya kutundika picha
akiwa anabusiana na mwanamke mwenzake.
Jack ambaye kwa sasa yupo
nchini Dubai, aliweka picha hiyo katika mtandao wa Instagram hali ambayo
iliwashangaza wadau wengi waliopo kwenye mtandao huo ambapo walimchana
kuwa aache vitendo vya kisagaji lakini mwenyewe hakujibu.
Jack baada
ya kuweka picha hiyo aliandika maneno haya; ‘mwaaah’ ndipo wadau
walipoanza kumshambulia na kumtaka aondoe picha hiyo chafu.
No comments:
Post a Comment