Usiku kuamkia leo Ambwene Yessaya aka A.Y alifanya show maalum iliyoipa
jina la Road to CHOMVA 2013 ambayo ilifanyika katika ukumbi wa bilicanas
Jijini Dar es Salaam,show hiyo ilisindikizwa na wasanii mbalimbali
wakiwemo Fid Q, Ommy Dimpoz,God Zillah,Stereo na wengine wengi.
Ambwene Yesaya A.Y yupo kwenye category mbili katika Channel O Music
video awards mwaka 2013. Category hizo ni Best Gifted Male video ambapo
kumpigia kura tuma sms 1D kwenda +278 3142100415, Best Gifted East
Video tuma sms 12D kwenda +278 3142100415 au unaweza kwenda
www.channelo.com kumpigia kura.
No comments:
Post a Comment