Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt .Jakaya Mrisho Kikwete Jana
Novemba 26 alikuwa ni mgeni rasmi kwenye semina ya kamata fursa twenzetu
iliyofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.
Mh.Rais ameupongeza uongozi wa kampuni ya Clouds Media Group kwa ubunifu
wao wa kampeni hii ya fursa inayowakutanisha na kuwamasisha vijana
mbalimbali nchini kujituma na kufanya kazi ili kutokomeza suala zima la
ukosefu wa ajira.
Semina hiyo ilihudhuriwa pia na wasanii mbalimbali angalia picha hapa.
No comments:
Post a Comment