,

,

Tuesday, 19 November 2013

Sijali Mnachosema Ila Siachi Kuliendesha Hili Gari Asema FloRida



Baada ya kampeni ya kupiga vita Saratani ya Matiti kuisha bado msanii Flo Rida anaendelea kuendesha gari ya Pink aliyokuwa akitumia kwenye Kampeni hio.

Gari hii alinunu Flo kama ishara ya kuwa yeye ni Mwanamke na anapenda vitu vya kike kama gari ya Pink na kuonyesha kuwa binadamu wote tuko sawa na lazima tusaidiane kupiga vita tatizo hilo.

Watu wa karibu na Rapper huyo walitegemea kampeni ikiisha ataacha kuliendesha gari hilo ila jamaa mpaka leo ana Push A Pink Bugatti.


No comments:

Post a Comment