,

,

Monday, 18 November 2013

Picha, Diamond Platnumz Kwenye Shooting Ya Remix Ya Number One Akiwa Na Davido




Naamini ipo siku nasi Tanzania tutasimama Vyema Katika ramani hii ya muziki Worldwide na kuipa sifa na Heshima zaidi East Africa yetu.... Eeeh Mwenyez Mungu ibariki Tanzania, ibariki East Africa na Africa yetu kwa ujumla.... #LastNight #Onset #NumberOneRemix #DiamondFtDavido #ClarencePeterBehindTheCamera

No comments:

Post a Comment