LADY JAYDEE 'ANACONDA' SASA YUPO MBIONI KUFUNGUA RADIO STATION YAKE.....!!
KOMANDO JIDE
Nimeshangaa sana baada ya kuona AWARDS mbalimbali
alizojinyakulia LADY JAYDEE tokea aanze muziki apa bongo mwaka 2000 hadi
sasa 2013,tokea mwaka huo(2000) aanze muziki alibahatika kujinyakulia
tunzo na hadi leo hii hajawahi kukosa tunzo ukijumlisha na zile
alizopata uganda kama mara
nne au tano ivi,tokea aanze muziki mwaka huo JIDE hajawahi kuchuja hadi
leo hii bado yupo juu kimuziki hata
kimaisha,kumbuka ni miaka kumi na tatu (13) sasa.Ki ukweli huyu msanii
anahitaji heshima ya kipekee apa bongo na nchi za jirani pia.Hiki kitu
sio cha kawaida kabisa kuwahi kutokea apa bongo.Achilia mbali mafanikio
aliyoyapata ya kujenga jumba la kifahari,kumiliki mgahawa wa
kisasa(NYUMBANI LOUNGE),kumiliki band ya
music,kufungua STUDIO YA MUZIKI,na hivi karibuni yupo njiani kufungua
RADIO STATION yake binafsi,can u imagine???,kufungua radio station sio
kitu cha kawaida hata kidog especially kwa wasanii wetu wa apa bongo.Kwa
sasa HAKUNA msanii yeyote awe wa kike au wa kiume mwenye ubavu wa
kushindana na huyu bidada,SHE IS THE NUMBER ONE.
Kama ulikuwa hujui huyu ndiyo KOMANDO na huu ndiyo UCHAWI ambao msanii yeyote wa bongo mwingine hajaweza kufanya..!!
No comments:
Post a Comment