makala hii itakuwa ni mkombozi wako. zingatia mambo yafuatayo.
1.JIAMINI
Hakuna maana yeyote mvulana kuwa handsome alafu ushindwe kuvutia wasichana, kwa
hiyo jambo la kwanza unatakiwa kujiamini.
2.MBALI NA KUJIAMINI HAKIKISHA UNATUMIA UJUZI ULIO NAO PIA
ukilijua hili halitakusumbua, unaweza ukapigwa chini na msichana huyu lakini ukakubaliwa na mwingine, hii haimaanishi ukate tamaa na kutotafuta rafiki mwingine wa kike, kumbuka wanaume ni wachache zaidi kuliko wasichana.usisahau hili.
4.HAKIKISHA UNAVAA NGUO AMBAZO ZINAKUFANYA UJIAMINI
hii ni kwa sababu wasichana wapo makini sana kutizama wavulana wanavaa nini, hauwezi ukavaa tu suti kubwa inayokuelemea au unavaa mikoti mikubwa wakati wa jua kali alafu ukakurupuka kuwafuata walimbwende..!.
5.USIOGOPE KUZUNGUMZA NA MSICHANA UNAEMPENDA.
6.KUWA MWANAUME WA NGUVU
7.JIFUNZE KUENDANA NA TABIA ZA WASICHANA WANAPOKUA KWENYE HEDHI NA UJARIBU KUENDANA NA HALI HIYO.!
No comments:
Post a Comment