
Pichani ni Diamond Platnumz msanii kutoka bongo akiwa na bwana
harusi Peter wa Psquare pale walipokutana huko Lagos Nigeria kwenye
harusi ya Peter. Diamond yupo nchini Nigeria kwa ajili ya utengenezaji wa
video yake mpya ya wimbo Number One remix aliyomshirikisha msanii kutoka
huko huko Naija anaitwa Davido. Nadhani tutegemee mambo mazuri sana
kutoka kwa Diamond
Akiwa na Mwanamuzi Iyana
No comments:
Post a Comment