,

,

Monday, 18 November 2013

DIAMOND NDIO MTANZANIA PEKEE ALIYEALIKWA NA P-SQUARE KWENYE HARUSI YA PETER

peterPichani ni Diamond Platnumz msanii kutoka bongo akiwa na bwana harusi Peter wa Psquare pale walipokutana huko Lagos Nigeria kwenye harusi ya Peter. Diamond yupo nchini Nigeria kwa ajili ya utengenezaji wa video yake mpya ya wimbo Number One remix aliyomshirikisha msanii kutoka huko huko Naija anaitwa Davido. Nadhani tutegemee mambo mazuri sana kutoka kwa Diamond
Akiwa na Mwanamuzi Iyana

No comments:

Post a Comment