Monday, 18 November 2013

Covers Na Orodha Ya Nyimbo Kwenye Cd Mpya Ya R Kelly



Album ya Mkali wa Rnb R. Kelly's "Black Panties" inayotoka December 10 itakuwa na nyimbo kumi na moja. Fahamu kuwa mpaka sasa wasanii watakao kuwepo kwenye album ya Kelly ni Ludacris, Kelly Rowland na  Young Jeezy.
Pia nyimbo ambazo zimeshatoka ni My Story Ft 2 Chainz na Tear It Up Ft Future ambazo hazipo kwenye orodha ya nyimbo kwenye hii project mpya.

Orodha Ya Nyimbo
1. Legs Shake f. Ludacris
2. Cookies
3. Throw Money On You
4. Poetic Sex
5. Marry The Pussy
6. You Deserve Better
7. All The Way f. Kelly Rowland
8. Right Back To My Niggas
9. Spend That f. Young Jeezy
10. Crazy Sex
11. Shut Up
 

No comments:

Post a Comment