NEWS, ENTERTAINMENT, EVENTS, LIFE STYLE, FASHION, PHOTOS, INSPIRATION. GOSSIP
Tuesday, 26 November 2013
Baada Ya Mwezi Na Wiki Mbili, Tunda Asema Siku Ya Kutambulishwa 'Msambinungwa'
Uzinduzi wa
wimbo mpya wa Tunda Man 'Msambinungwa' uliotengenezwa na producer Maneck
wa Am Records unatoka jumamosi hii kwenye show iliyoandaliwa na Tunda
Man pale pale Ambassadors Lounge.
No comments:
Post a Comment